BLOG YA JAMII INAUNGANA NA NDUGU ALLY WA FARSTA CETRUM KUWATANGAZIA HABARI YA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI ULIOTOKEA BONGO NA MAZISHI YATAFANYIKA KESHO SA TANO ASUBUHI.
KWA SISI WABONGO WA HAPA SWEDEN TUTAUNGANA KWA PAMOJA KUFANYA KISOMO SIKU YA JUMAPILI SAA KUMI YA JIONINYUMBANI KWAKE MFIWA.
ADRESS NI MOLKOMSBACKEN 28 123 33 FARSTA CETRUM.KUFIKA KWAKO NDIO KUFANIKISHA KISOMO CHA MAMA YETU KWANI LEO YEYE KESHO SISI.TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO.
KWA WALE AMBAO HAWAPAJUI WATAKAPOFIKA FARSTA CETRUM UNAWEZA KUMPIGIA MWENEU KWA NAMBA YA LYCA. 0734792089
Wednesday, June 29, 2011
Tuesday, June 28, 2011
Sunday, June 26, 2011
CHOMA NYAMA NDANI YA UBALOZI WA TANZANIA ILIVYOFANA.
Dj akiweka mitambo sawa.
Watu alianza kusogelea meza ya chakula.
Mapochopocho
Nyama tulichukua hapa
Kiongozi na wageni
Osamaaaaaaaaaaaaaaa.
Hahahahaha nyama zilikua laini hata watoto nao walimeza bila kutafuna.
Dada Linda nae alikuwepo
Watu walitambuana pia,naona dada Linda akiwa na kiongozi Zam
Safi sana kiongozi na wafuasi wake anaunganisha upendo.
Mduara nao ulikuwepo alimradi burudani.
Shukrani kwako Cley kwa kuwakilisha majirani zetu wa Kenya.
Messi Dona na Mgiliki
Shukrani kwako Maneger Nyupi kwa kujumuika nasi mtu muhimu sana huyu.
Majembeeeeeeeeeee waliwakilisha
Jembeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamaa alitka apigiwe nyimbo yake naona hapo akiongea na Dj
Huu muungano ni mzuri hapa safi sana.
Mkono mmoja weka juuu
Wakongwe wa jiji la Stockholm
Mpaka chini mpaka chini
Dj akisakata lumba na kiongozi juma magambo nani umemuachia mitambo Dj
Burudani iliendelea kama kawaida.
Shukrani kubwa zikufikie capten JJ kwa kutufikishia matukio katika blog yetu ya jamii.
Subscribe to:
Posts (Atom)