Sunday, July 31, 2011

BURUDANI NDANI YA JIJI LA STOCKHOLM PICHA ZINAONGEA


 Shabini akishow love nami
 Sindano ndogo inashona mpaka matulubai.Jembeeee la darstockholm KC



 Sebene kama kawa


 Wana   wakishow love nami big up








 Wazee wa mihogo na kachumbali pale ufukweni jijini Dar stand up



Friday, July 29, 2011

NGASA KUIWEKA TANZANIA KATIKA RAMANI YA SOKA.


MSHAMBULIAJI wa timu ya Azam Fc ya jijini Dar es Salaam, Mrisho Ngasa, amefuzu majaribio yake ya kuichezea timu ya Seattle Sounders ya Marekani inayoshiriki Ligin Kuu ya England.

Ngasa aliondoka jijini kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya kufanya majaribio na timu hiyo iliyofika dau la kumnyakua kwa ajili ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya timu hiyo.

Aidha baada ya kuwasili nchini Marekani Ngasa alifanyiwa majaribio ya kwanza katika mchezo wa kirafiki baina ya timu hiyo na Manchester United ya Englandm, ambapo Ngasa alichezeshwa dakika 15 za mchezo huo na kuwaacha hoi mashabiki lukuki waliojitokeza kushuhudia mchezo huo.

Pamoja na jitihada za Ngasa alizoweza kuonyesha katika dadkika hizo 15 na kukosa bao katika dakika za mwisho za mchezo huo, lakini timu yake ilibugizwa mabao 7-0.

Akithibitisha habari hizi kwa njia ya sim, Meneje wa Azam Fc, amesema kuwa baada ya Ngasa kufanikiwa kufuzu majaribio hayo, sasa kinachofuata ni utaratibu wa uhamisho wa mchezaji huyo ili aweze kuitumikia vyema timu yake hiyo mpya.

Aidha, kiongozi huyo akisema kuwa kutokana na Ngasa kufuzu kucheza soka la kulipwa, sasa timu hiyo inajipanga kutafuta mchezaji atakayekava nafasi yake, huku wakijiandaa kuingia mkataba wa kumuhamisha Ngasa ikiwa ni pamoja na dau kamili ambalo bado hadi sasa halijawekwa wazi.


Habari kwa hisani ya mateja 20.

Wednesday, July 27, 2011

PAPA MATTAR PREZIDAR MUTU YA KILO HAIR STYLE


Papa mattar prezidar mutu ya kilo anawakaribisha saloon kwake upate huduma ya kunyoa kwa bei rahisi kabisa aina zote za unyoaji.Watu wengi wanajua wapi saloon yake ipo huyu Mutu ya kilo.

DIMOND-MOYO WANGU

Kila siku zinapozidi kwenda utengenezaji wa music video bongo unakua ukitazama hii utaona jinsi Adam Juma     alivyoitendea  haki video hii ya mtu mzima Dimond.

Tuesday, July 26, 2011

KILIMANJARO YATOA KIPIGO KWA DJURGÅRDENS IF ACADEMY

 Majembe ya Kilimanjaro Fc yakiwa tayari kwa mtanange.
 Kikosi kamili cha Djurgården if academy
 Kama kawaida mashabiki walikuwepo kuakikisha team yao inafanya vizuri
 Jembe langu Cledo Mwaipopo a.k.a Zizzu akipasha misuli na mwanae Shekhan



 Kilimanjaro wakipasha misuli
 Michezo ni urafiki tosha hapa wachezaji wa Kilimanjaro wakifurahi kwa pamoja
 Picha ya pamoja

 Kikosi kamili kilichotoa kipigo cha goli 5 kwa 2

 Bechi la kilimanjaro
 Bechi la Djurgårdens if
 Makocha


 Kila jinsia ilikuwepo kutazama burudani



 Chedazz,Mgiriki na Hamis Abui wakishow love baada ya game
Baada ya mechi watu walisalimiana kuonyesha ishala ya upendo.