Wednesday, August 31, 2011

EID MUBARAK NDANI YA UWANJA WA NYUMBANI AL-QADIRIYAH

 Musjid al-qadiriyah leo asubuh wakati wa swala ya eid hapa ndio hua naswali ninapokua nyumbani tanzania.
 Damu zangu hizi Abdul bingwa,Abdul,Muddy,Kogwa na big jah(jabir)nimekosekana mimi tu hasubuh ya leo.Na nyuma ya hawa ndugu zangu kule ukutani ndio kikao changu baada ya sala na damu zangu zote tunasikiliza mawaidha nimemiss sana.
 Dereva wa mambo yangu ya tz ndio huyu Said Ally nae alikuwepo katika ibada ya eid msikiti wa changani.

                                    Rama Rado asiye na kofia nae alikuwepo.
                                  Baada ya sala watu waliingia majumbani kupata chai ya eid
                                       Kaka Lee Mnyusi

Shukrani kwa Rama Rado wa temekepamoja kwa kunisukumia matukio haya angalau nami katika nafsi nimejihisi eid nimesalia katika msikiti ambao ndio mazalio yangu.Inshallah ijayo tutakua pamoja amen.

WATOTO WA KIUMENI WALEEEE NDANI YA LONDON

Chege Chigunda au mtoto wa mama saidi pamoja Amani Temba a.k.a mwanajeshi walipotua jijini london tayari kwa kuwasha moto kwa taarifa nilizopata mapanga kama kawa.

Tuesday, August 30, 2011

KATIKA MIZUNGUKO YA EID NILIKUTANA NA WADAU HAWA

 Hapa kim akishow love na kamera ya blog nilipogongana nae mitaa ya jiji la stockholm akila eid yake huku akiwa ametupia pamba za mana sana.Safi sana wazazi hii sikukuu tumeamlishwa tuvae viwalo vizuri.
                                    Aliniacha hoi kwa kicheko kwa mapozi yake tu

                                         Tukishow love kwa pamoja

SALA YA EID MUBARAK NDANI YA JIJI LA STOCKHOLM

 Watu mbali mbali waliudhulia kwa wingi msikitini kuipata ibada ya eid mubarak
 Mashekh wetu wakiwa katika nyuso za tabasam ndani ya msikiti baada ya kusali sala ya eid ndani ya stockholm.

                                       Wadau wakiwa ktk picha ya pamoja
Wadau wakiwa kwenye furaha baada ya mungu kuwajaalia kuiona sikukuu ya eid.

Saturday, August 27, 2011

JUMAMOSI YA JUA NA KAMERA YA DARSTOCKHOLM KITAANI

 Kiukweli nilitumia muda mwingi sana kumtazama Othman wakati anacheza mpira na watoto wenzie,ndio hapo nikagundua kama baba yake mzazi kaka Omar atamuendeleza kisoka basi tunaweza kuja kujivunia nchi yetu ya Tanzania kua na mwanasoka wa kulipwa hapo baadae.Nami nikaona niwasogezee picha yake wadau.
 Othman na dada yake Aisha  wakishow love na camera ya darstockholm ndani ya jiji la Stockholm.
                          Wacha nijiachie bana na mtoto wa bondia wa uzito wa juu Tamim


                                     Hapa nikiwa na Hawadh Tamim akiwa na familia yake
                                   Kaka Moze a.k.a baba waleed alisimama kwenye meza kuu
                                      Nyama ilichomwa hapa.
Wadada wakipata nyama choma na ugali kachumbali kwajuu,tena wakiwa na furaha wakimalizia kipindi cha majira ya majotrooo.

Friday, August 26, 2011

KISOMO CHA KUMUOMBEA DUA BABA MKUBWA WA YUNUS

                                                       Hapa nikiwa na kaka Yunus
                                Muda muafaka ulifika watu wakaanza kufturu
                                              Kaka Abraham akipa sadaka kabla ya dua.


                                                         Kiukweli mashallah meza ilitimia




                                               Kutenga alikuwepo pia na Frank
                                       Kim akiwajibika na wenzake katika ftari


                       Meza hii iliwakilishwa na kaimu balozi Tanzania inchini sweden


Kaka Said akimfahamisha jambo mjomba wa Yunus ambae nae ametoka uingereza kuja kuwajibika katika kisomo hichi
Yunus:pole sna kaka kwa mtihani uliokukuta inshallah mungu atakuongeza vyema katika kipindi hiki kigumu amen.
 


                      Ulifika wakati wa kumfanyia dua marehem kama tulivyokusudia.
                                 Kaka Charles aliudhulia kisomo pia.

                                Dua kwa pamoja kumuombea mzee wetu
Kwa niaba ya kaka Yunus na familia yake kwa ujumla inawashukuru wote mlioacha shughuli zenu kwa kuitikia wito wake.na hata wale ambao hawakujaaliwa kufika kwa kutingwa na majukumu kwa namna moja au nyingine mnashukuliwa pia.Wao hawana cha kuwalipa kwa moyo wenu ila ni mungu pekee atakaowalipa amen.