Thursday, September 29, 2011

DJURGÅRDEN IF U21 WAMSAJILI MTANZANIA ADAM KASA

 Hapa Adam Kasa akisign mkataba wake wa kuichezea djurgården if u21
 Sura ya furaha kwa Adam kasa kwa kusign mkataba wa kuichezea djurgården u21
                                                           Hapa akiwa mazoezini
Team ya Djurgården if ya stockholm sweden imemsajili Mtanzania Adam kasa,kiukweli ni muda wa kujivunia juu ya hili kwa sisi watanzania kwa kuona bendera yetu inapeperushwa vyema nje ya Tanzania,kwani  naimani huu ni mwanzo mzuri kwa Adam Kasa.Na nilijaribu kuwasiliana na baba  wa Adam ambae ni Naaman aliniakikishia juu ya hili na nikaomba kukutana na Adam mwenyewe ili nipate mawili matatu kutoka kwake juu ya mwenendo mzima wa maisha yake ya soka kwa ujumla.Nawahaidi wadau kuwaletea taarifa zaidi hivi karibuni nitapokutana na Adam mwenyewe.Kwa habari zaidi za adam kasa juu ya usajili wake unaweza kuingia www.dif.se

PHILIP MINJA MTANZANIA ANAEFANYA VIZURI SWEDEN KATIKA MCHEZO WA AMERICAN FOOTBALL

Philipi Minja kulia akiwa na medali zake shingoni baada ya kuibuka mchezaji bora,Philip ambae anachezea katika club ya Tyreso na muda si mrefu tutegemee kumuona league ya USA.

Wednesday, September 28, 2011

MACHUPA AITWA TENA TAIFA STARS KUIKABILI MOROCCO

Athuman Rajabu(Machupa)anaechezea Vasalunds if ya nchini sweden ameitwa tena katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania(taifa stars)ambapo ataungana na wachezaji wenzake kambini tayari kabisa kujiandaa na safari ya Morocco kuwakabili warabu hao.

UNAPOKOSA MTU WA KUKUPIGA PICHA MAMBO HUA HIVI

 Kiukweli kila mtu anapokwenda sehem ambayo ajawahi kwenda kitu cha kwanza ambacho hufikilia kupiga picha za kumbukumbu,sasa kazi inakua pale unapokosa mtu wa kukupika mambo hua kama hvi ni kunyoosha mkono tu.
 Ila hii kidogo niliongeza ushamba maana ilibidi nikajipige katika kioo cha chooni,dah kweli ushamba si tu kusema computer video.

Hapa ndio nikamsimamisha mtu na kumuomba anipige japo nilimfahamisha kibubu bubu lugha ya hapa nilipokwenda sipandishi wadau.

Monday, September 26, 2011

MAKAMO WA RAISI WA TANZANIA DR. GHARIB BILAL KATIKA ZIARA YAKE NCHINI SWEDEN

                                                        Makamu wa raisi dr.Ghalib Bilali
 Makamu wa raisi akiwa na watu aliongozana nao katika ziara hiyo,akiongozwa na mwenyeji wake balozi wa Tanzania nchini sweden.
 Balozi wa Tanzania nchini sweden ndie aliekua mwenyeji wa makamo wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
 Abdallah(Dullah)kati ya watanzania waliopata nafasi ya kuuliza maswali kwa makamu wa raisi juu ya mwenendo mzima wa nchi yake na serikali kwa ujumla.
                                                      Nae alipata nafasi ya kuuliza swali
                                         Makamu wa raisi wa Tanzania akipokea zawadi
                                     Mke wa makamu wa raisi nae akipokea zawadi


                                            Akipata picha na wananchi wake waishio sweden


 Hapa makamo wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania akiagana na watu mbali mbali baada ya kumaliza mkutano wake.

Sunday, September 25, 2011

HAPPY BIRTHDAY TO YOU HAKEEM

  Moja,mbili,tatu happy birthday to uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
                                                               Makulaji kama kawaida

     Wazazi wa Hakeem wakiwa wameshikilia keki iliopambwa na mshumaa wa kuashilia umri wa miaka 5 aliotikia mtoto wao Hakeem kwa sasa.
                                                         Hakeem akimlisha mama keki
                                                       Mama akimlisha mwanae keki

                                                    Akipata hug kutoka kwa marafiki
Hakeem hapa akiwa ktk nyuso ya furaha baada ya kupokea zawadi ya X box kutoka kwa baba na mama yake.

Thursday, September 22, 2011

MWANAUME AOTA MAZIWA KWA KUMEZA DAWA ZA UKIMWI

Mwanaume huyu Mtanzania mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi amejikuta maziwa yake yakikua siku hadi siku na kufikia kama ya mwanamke na hii imetokana na kumeza dawa za kinga zidi ya virusi vya.Amesema amejikuta maziwa yake yakiongezeka siku hadi siku na mwanzo hakujua nini tatizo baadae alipokwenda ktk utafiti zaidi ndio akagundua hizo dawa zinamfanya kuongezeka kwa matiti yake.

AZAM FOOTBALL CLUB SASA YAMILIKI UWANJA WAKE WENYEWE VIPI TEAM KUBWA ZA SIMBA NA YANGA.

        Uwanja wa Azam fc unavyoonekana kwa nje,ila hii style yake ya ya ubao wa matangazo sijaipenda.
                                    Safi sana Azam fc kwa kuonyesha mfano
                                     Upande wa majukwaa



                                  Peach nzuri kwa kweli uwanja unavutia kwa ujumla.
Team ya azam fc imekua team ya kwanza nchini Tanzania kumiliki uwanja wake wenyewe na hii ni team ambayo imeanzishwa hivi karibuni na wameshafikia hatua hii.Vipi team zingine kama Simba na Yanga ambao wao ni magwiji ya mpira nchini Tanzania hamfanyi kitu kama hiki?Safi sana Azam fc.Picha kwa hisani ya temekepamoja.

Tuesday, September 20, 2011

HAPA NDIO UNAWEZA KUPATA RADHA ZA KIAFRICA NDANI YA JIJI LA STOCKHOLM

                                    Vumbi na wafuasi wake wakiwajibika
                                  Kama kawaida tuliunganisha meza na kujipa raha wenyewe
                                       Kofiazzzzzzzzzzzzz kc
                                      Mwamba akishow lv na camera ya blog
                                                 Kaka Said na mwenzie wa ukweli
                                  Hapa drums ziliniingia kidogo nikaona nikumbukie enzi
                                    Hii picha nimeipenda Kaka Said na mwenzie wa maisha
                                               Alituimbia nyimbo ya malaika kama unavyoijua
                                    Kamera iliwafuma hawa wakubwa kwenye giza na ikawamulika
                                    Vumbi huyu mtu wacha nimfananishe na diblo
 Hahahaha imebidi nicheke kidogo maana hawajaa siwapendi ila rangi ya gari yao ndio naipenda nikaona nipate picha.
Baada ya burudani na gambe la maana wengine wao hata kushuka ngazi ilikua inshu bila kumshikia inakua nomaaa.