Saturday, March 31, 2012
DIAMOND ALIVYOWABAMBA WALIOFIKA MLIMANI CITY KATIKA SHOW YAKE NA VIMBWANGA KIBAO.
Diamond akiwajibika,kikazi zaidi
Masikini weee Wema akiangua kilio kwa kukataliwa pesa zake
Marafiki wakijitahidi kumnyamazisha dah noma.
Mtu mzima kikazi zaidi
Hii meza yakina Mboni Masimba na Steve Nyerere ilikua na vituko sana.Walikuja na t.shirt zenye picha ya demu anaetoka nae sasa hivi Diamond na ilikua maalum kwa kumrusha roho Wema.
Kiuno bila mfupa
Huyu dada alimtunza Diamond wanyama watupu(usd)
Kaka muonee huruma mpokelee pesa yake nakuomba mwana
Hapa Wema akirudi kukaa huku kanuna pesa zake hazikupokelewa
Huu hapa mkwanja wa Wema alioukataa Diamond
Upande wa Dada Jokate a.k.a Kidoti nikicheko tu na wakawa wanaimba kwa sauti.Aibu yetu aibu yao?kisha wanaitikia aibu yao wenyewe.Hahaha mastaa wakibongo wanamambo sana.
Picha kwa hisani ya kajunason.

Wednesday, March 28, 2012
Monday, March 26, 2012
Sunday, March 25, 2012
BURGER NI CHAKULA KINACHONIFANYA MPAKA SASA NIWE STOCKHOLM
Wadau wangu hii ni burger aina ya big mac nimeitengeneza kwa mkono wangu mwenyewe.Kiukweli kwako itakua inaleta maana kama chakula tu ila kwangu mimi ni tofauti kabisa na inamaana kubwa sana kwani ndio utengenezaji wa hii na zingine ndio zimenifanya niwepo hapa Sweden sijui nini kingetokea kama isingekua hii.Kuna mengi sana ktk maisha ya mwanadam mpaka kufikia mafanikio kuna vikwazo vya kila aina na hata wanadam wanaweza kuwa mstari wa mbele kuakikisha usifikie mafanikio yako ila hii burger imenifanya niwe strong,najiamini,siogopi kitu wala mtu zaidi ya mungu.Mimi sitaki kumaliza yote kuhusu burger juu ya maisha yangu ila naikubali sana na najivunia kwa mengi niliofanya kutokana na mkono wangu kuweza kuitengeneza hii tu.
PICHA ZA KISOMO CHA MAMA YAKE USTADH MAN NA KARAMA
Shekh Rajab aliongoza kisomo
Watu wakiwa katika kisomo
Nayla
Mama Nayla na Nayla
Shekh Juma na Nasra
Akina mama wakitaarisha chakula
Babu na mjukuu wake
Jibaba,Mjeru na Salum mpangala nao waliudhulia
Kaniki Golota
Manguli wa Stockholm wote walikuwepo
Shekh Omar
Karama huyu ndio mmoja wa watoto walifiwa na mama yao huyo
Eneo la mashekh hili wali wa nazi haukosi
Kaka Mrisho
Mzee Hawale mlezi wa wana hapa Stockholm
Mdogo wangu Jafari
Kuny....
Marafiki wa kweli Kutenga na Mweneu
Mashekh vipi mbona kicheko kikubwa?
Juma,Jafari na JJ
Subscribe to:
Posts (Atom)