Sasa mjiazali na mnaojificha
Hii kwa tukio lolote nitakalokutana nalo njiani utalipata
Mtambo wa gonga hapana chezea mac book pro
Wadau wangu sijamalizia hapa baada ya siku chache nitawabadilishia uso wa blog na kuwa wakiushindani zaidi pamoja na slide pics zile zote tuliowahi piga sichagui sibagui atakaenizika simjui stay tune pia wale wapenda comments hilo litafanyiwa kazi ila comments zote zitanifikia mm kwanza kisha nitachuja na kuziweka kaa mkao wa kula.
Thursday, May 31, 2012
FC KILIMANJARO ILIPOANGUSHA MVUA YA MAGOLI KATIKA MECHI YAKE YA LEAGUE DARAJA LA CHINI HAPA SWEDEN.SISI 9 WAO 2
Wakubwa wa jiji la stocholm Adam na Mayanga wakiingia uwanjani tayari kwa kutazama mpira
Hii ni sehem ya pasi zinazopigwa na fc kilimanjaro mpaka goli likaingia fatilia
Jembe Mgaya analeta cross ndani huku mshambuliaji hatari Mkangwa akijitaalisha
Mkangwa anausogelea mpira
Anafuga goooooooooooooooool
Bataokota kunyavu chezea Mkangwa wewe a.k.a mvuvi anazijua nyavu huyu jamaaaa!
Hahahaahaha anajua kshangilia huyu jamaa kuliko gyan Asamoah
Mkangwa a.k.a Mjo,a.k.a mvuvi wa magoli wa Fc kilimanjaro.Style gani hii kaka?nijuze
Baba Nayla zamani Moro United kipindi hicho Juma kaseja,Jamil mjomba wote walimueshimu kama Capten wao na jana alirudishiwa kitambaa chake na akatuonyesha capten anatakiwa afanyaje.
Fc Kilimanjaro kwa pasi hatari muone huyu kijana anaitwa Messi wa Sweden akipiga kibao wadau wa mpira mmenielewa kibao ni nini.
Hapa kulikua upande wa mashabiki wa fc kilimanjaro uliongozwa na Zam Khalifa,Mzee Hawale a.k.a baba yangu wa sweden na kaka Liban
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Machupa nae alikwepo kuishangilia fc kilimanjaro ajivungi.
Nawaleteeni jeeeeeeeeeembe la ukweli William John huyu kijana alimnyimaga sana usingizi Suleyman Matola Veron pale simba kipindi hicho kocha james sianga kama sikosei
huyu jamaa namkubali kitu kimoja miguu yake na macho vinamawasiliano vzri kama uamini shuka na picha utakubali.
Nadhani umekubali
Yusufu a.k.a Midolonyo mshkaji namkubali sana kama na wewe haumkubali chuki
Abui Fuad Rashid
Hamfrey jembe udhamini kaka tunakukubali endeleza
Haha hapa mwanangu William John aliamua kunipa tano na lawama kibao nimejificha sana.Sio mm kaka cd ilijizonga ndiomana ila kwa sasa kila kitu kipo sawa am a free man chakachua nikuchakachue.
A.k.a Mikel Obbi
Mgaya na Evans wakiwa mapumziko
Kiongozi Teyla yupo na fc kilimanjaro toka tunaianzisha 2007 safi
Jembe jipya la fc kilimanjaro Jafari Katembo
Bechi la fc Kilimanjaro liliongozwa na Kaka Andrew na JJ
Said Mwarabu na Tajiri Eddy wakiteta chukua mkopo kaka kaja matembezi huyo
Heka heka langoni
Utu uzima dawa Evans akiwajibika sisi wengine tumestahafu yeye bado anabishana na vijana tu.
Jafari Katembo akipiga vitu vya Beckham nakumbuka nilikua mpigaji mzuri wa hizi mpaka nikaitwa Beckham sasa hivi kwishaaaaaaaaaaa nashika camera.
Mlinda mlango wa fc kilimanjaro Adrey akiwa kazini
Shekhani rashid huyu ndio yuleeeeeeee aliepiga penati kwenye maji pale taifa simba na Zamalek mpaka mapumziko simba wanaongoza bao 2 na ilitakiwa ipate 1 lanyongeza iendelee mbele dah uwanja ukajaa maji wakajaribu kutoa maji kwa magodolo wapi mechi ikapangwa siku inayofuata ndio msiba ukarudi msimbazi japo simba walishinda 1 haikusaidia.
Messi wa sweden
Hakuna goli bana
Shangaa akupite huyo
Nilisema
Ni mvua tu ya magoli ilikua
Jeshi likirudi tayari limeacha maafa kwa wapinzani
Jamaa walijitutumua lakini wapi
Hahaha jamaa nadhani jana alilala na panadol apana chezea Mkangwa.
Yusuf Midolonyo
Alishangilia mpaka akachoka
Bataokota kunyavu
Mchezaji wakimataifa Machupa yeye hakuja peke yake alikuja na mwenzie linda mali mzazi
Meneja Nyupi yeye kwa sasa ndio kashika gurudumu la fc kilimanjaro usichoke mkubwa.
Ashukuliwe mungu aliejuu hata Messi wa barca anashangiliaga hivi
Mpira umekwisha wakapeana mikono ishara ya upendo
Fc kilimanjaro juuuuuuuuuuuuuuuuuu
Subscribe to:
Posts (Atom)