Friday, August 31, 2012

Thursday, August 30, 2012

SASA NIMEGUNDUA KWA NINI MZEE WA TEMEKEPAMOJA.BLOGSPOT AKIENDA MINMARKET YETU YA USWAZI ANACHELEWA HAHA


MAMA NA MTOTO WAKE WAISHI MAISHA YA MKE NA MUME MIAKA 10 BAADA YA BABA KUFARIKI.

 Umati wa watu uliofurika kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma watu wapatao 400 wameomba Serikali ichukue Mkondo wa Sheria pia Mtoto wa Pili wa Mama Kondrada Ngonyani ameomba Serikali ichukue hatua za kisheria dhidi ya condorada ngonyani na joseph Mapunda.

Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
 Mama Condorada Ngonyani mwenye umuri wa miaka 70 ambaye ana ishi kinyumba na mtoto wake watatu wa kumzaa mwenyewe kama Mke na Mume hapo anaonekana akisononeka kwa nini jamii iingilie ndoa yake.
 Kwa mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi. Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
 Joseph Mapunda ana sema upendo ni upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini kwetu?
 Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake
Mh kiukweli hapa si sahihi kabisa na wametokota.Sijui nini kimewasibu ni mila au masharti ya waganga wao au sijui nini.Mimi nadhani sheria inabidi ichukue mkondo wake ili iwe fundisho.
Asante Adam Nindi wa ruvuma.

Tuesday, August 28, 2012

WADAU TWENDE NA NYAKATI BILA KUSAHAU MSHALE WA SEKUNDE UNAKWENDA MBIO ZAIDI YA WA DAKIKA HAIJALISHI UDOGO WAKE


SHEKH ABOUD ROGO MOHAMMED APIGWA RISASI 16 NA KUFA


SHEKH ABOUD ROGO MOHAMMED APIGWA RISASI NA KUFA PAPO HAPO

 Aboud Mohammed Rogo aliyekuwa juu ya Marekani na Umoja wa Mataifa kuidhinisha orodha kwa madai ya kusaidia Somalia Al-Qaeda-zilizounganishwa wanamgambo Shebab alipigwa risasi kwenye mji wa mombasa nchini Kenya.
 Muda mfupi baada ya kifo Rogo waumini wenye hasira walianzisha maandamano kutokana na kifo cha bwana Rogo. Magari zilichomwa moto na makanisa kadhaa yalivunjwa kutokana na vulugu za waislam . Maandamano yaliendelea kwa siku ya mbili kwa waandamanaji kulaani mauaji ya kikatili ya bwana Rogo Mohammed.
Baadhi ya magari yaliochomwa moto na waandamanaji wa kiislam kwa kulaani kifo cha muislam mwenzao bwana Rogo.Chanzo cha habari kinasema Rogo Mohommed inawezekana ameuawa na polisi wa serikali ya kenya lakini hakuna uhakika wa habari hyo mpaka sasa.Rogo alipigwa risasi maeneo ya malindi mombasa akiwa na mkewe ,mwanamke mmoja,mtotona baba yake.Mke wa Rogo alipatwa na jeraha mguuni kwa kupigwa na risasi

HAYA WALE WAKIGOMA WOTE HAWA MASTAR MLIOTOKA NAO SEHEM MOJA

Kila mtu hupenda chake ila kuna yule muhusika zaidi hii nyimbo ni ya mastar wa kigoma wanaofanya kazi zao za kisanii dar es salaam.Hapa wameungana na kutoa nyimbo kali sana,kwa hapa Stockholm namjua mkigoma mmoja ambae Rashid a.k.a Deco hope ataburudika akiiona video hii.

MAISHA PLUS HIYOOO INAANZA MBIO ZAKE


Awamu ya kwanza  ya zoezi la kwasaka vijana watakaoweza kumudu mchakamchaka wa shindano la Maisha Plus, imeanza jana (Agosti 27) huko Bagamoyo mkoani Pwani.
Leo shindano hilo litafanya usaili katika wilaya ya Lushoto ambako zoezi hili litafanyika katika maeneo ya mjini mwa wilaya hiyo.

Baada ya hapo ratiba za audition zitaendelea kama ifuatavyo;
Agosti 29- Kilimanjaro/ Sanya juu
Usaili utafanyika katika mji wa Bomang’ombe

Agosti 30- Arusha/ Ngorongoro
Usaili utafanyika Karatu

Agosti 31 – Singida
Usaili utafanyika Singida Mjini

Septemba 1- Iramba
Usaili utafanyika Iramba Mjini

Septemba 2- Dodoma
Usaili utafanyika Kondoa Mjini

Hii ni awamu ya kwanza ya usaili wa shindano hili, audition zitaendelea stay tuned kwaajili ya tarehe na mahali ya auditon zitakazoendelea……….

Monday, August 27, 2012

USAIN BOLT ASHINDWA HISIA ZAKE JUU YA MACHESTER UNITED

                           Hii jezi alipewa alipokwenda kutazama mechi dhidi ya fulham jumamosi

Hapa Giggs alimpa jezi yake kama zawadi na pembeni ni van magoli

WATOTO WA KIUMENI NA USHINDI WA TATU BILA

     Hapa Rich One kati KC huku Juma kassim Nature wa Kiroboto mzee wa wali nazi

Wednesday, August 22, 2012

WASWAHILI WANAKWAMBIA MKATAA KWAO MTUMWA.NIKIENDA MAPUMZIKO BONGO UTANIPATA KATIKA UWANJA HUU MUDA WA MAZOEZI

    Hapa ni maeneo ya tmk qwad huu ndio uwanja naoutumia pindi nikirudi  home kwa mapumziko baada ya kazi ngumu ya mwaka mzima ulaya.
 Kiukweli huu uwanja umetoa wachezaji wengi sana ambao waliopata kutamba league kuu na mpaka sasa bado unatoa wachezaji.Hapa kipindi hicho utampata Ramadhani Renny,Edwady Chumila wote marehememu kipindi hicho sisi watoto.Kuna Rashid Mlage wa Kabange,Hassani Banyai na wengineo.
 Hii hapa damu changa anakwenda kama Faki,huu ni mzao wa akina Adam Kingwande ambae yupo league kuu na Ramadhani chombo a.k.a Redondo wote walipitia pale kwa Aluko.


   Raha ya uwanja huu ni kuoga vumbi si kwa wachezaji,watazamaji mpaka wapita njia na hua hatunywi maziwa na hakuna anaeumwa kwa hilo tumeshajizoelea wenyewe.


   Hassani Banyai mkongwe na ndio kocha wa tmk Sqwad kwa sasa baada ya kujiuzulu ukocha Moro united.
     Hapa kati mwenye mpira  Haji Harambe dogo mbishi sana akiwa uwanjani vitu anavyofanya tofauti na umri wake.
     Mmadi a.k.a bosi chunda hawa miongoni mwa wakongwe wa tmk sqwad
     Muda mwingine kama hivi mikokoteni nayo inakatiza uwanjani nasisi tunasongesha kama kawa.
     Hapa Mabruki na Haji sijui kama hatampita huyu mtu angalia picha ya chini.
     Mwisho wake ukaishia hapo.
     Kipa wetu Teacher
     Hamza Kilaya enzi zake ilikua usumbufu mkubwa ila kwa sasa anapunguza tu mwili.

     Hili hapa jukwaa letu na ndio benchi la team pinzani la vijana maana hapa huwa mazoezi yanakua ya vijana na watu wazima,Mimi hua katika watu wazima wadau.
      Simon a.k.a whats up

     Hassani Banyai akiwa amepumzika kumpisha mwingine andeleze libeneke.

Saturday, August 18, 2012

PETIT MAN WAMUACHE KUTOKA KITAA MPAKA UMENEJA WA MWANAMZIKI

Katika maisha hakuna kinachoshindikana bwana na wala usiogope ukiona watu wapo tayari kukuangusha kila unapopanda.Hii ameionyesha ndugu yangu hapa Petit man mbio zake za maisha zinakwea mnazi siku hadi siku hapa sasa anakwenda kama meneja wa ferouz big up wish u all the best ma young bro.

Friday, August 17, 2012

NIMEKUBALI KUITUMIKIA MAN UTD KWA MIAKA MINNE BILA KULAZIMISHWA NA MTU-VAN PERSIE



                       Dah jamaa jezi imempendeza sana na hapa kaishika tu sijui vipi akivaa.
        Nani akimkaribisha Van Persie mazoezini tayari kuchukua majukumu ya man utd
                                   Hapa Van pale Rooney mimi mgeni
     Usjali kijana hapa utapata mshahara mara mbili ya kule ulipotoka.