Thursday, September 27, 2012

KWA WALE WANAOJUA KIINGLISHI HAPA KUNA MAPUNGUFU?


KAA MKAO WA KULA MDAU KUNA MUUNGANO WA TEMEKEPAMOJA NA DARSTOCKHOLM MUDA SI MREFU TUTAWAJUZA BAADA YA MAKUBALIANO

    Hapa nikiwa na mmiliki wa temekepamoja.blogspot.com Radhani Suley a.k.a Rama Rado.Kiukweli kuna muungano baina yetu mimi na huyu rafiki yangu toka maisha ya street,nini kitatufanya tuungane kaa mkao wa kujua mdau wangu.Kwa sasa tupo katika kuweka mambo sawa ili kufikia lengo muda si mrefu tutawajuza.
          Hapa maeneo yetu ya kujidai temeke na ndipo nilipotokea Kc mimi na Rado
    Hapa Rado akiwa ameweka pozi na kimeo cha darstockholm hii siku ndio yalianzia mazungumzo yetu juu ya muungano yatakayoleta maendeleo ya maisha na jinsi yakulishika game la Dar es salaam.Usikose kupitia darstockholm.blogspot.com na temekepamoja.blogspot.com

SIJUI KAMA KUNA UKWELI WOWOTE HAPA


RICK ROSS THE BOSS ATAKINUKISHA FIESTA 6 OCTOBER 2012 JIJINI DAR


Monday, September 24, 2012

KWENYE GAZETI LA UDAKU LEO HII


THE NGOMA AFRICA BAND

 It's the first African band to use is music as cross culture bridge from Tanzania in East Africa to the World! Ngoma Africa Band wich has been named The Golden Voice of East Africa is a fast-growing band with a huge fans base worldwide.Its's the first African band to use is music as cross culture bridge from Tanzania in East Africa to the World. Ngoma Africa Band, a Tanzanian band base in Germany,founded in the year 1993 by Ebrahim Makunja aka ras makunja,named several time is the best band in many festivals. This is beacuse of the way the band presents itself Live on stage.It penetrates the souls of the fans and automatically the audience became crazy!,especially when the band applies the EXTRA ORDINARY "Bongo Dansi" or "MZIKI WA DANSI" wich simple means danceable music from Tanzania.
The Fans found rhythm unique,you only can hear this beat when the Ngoma Africa band plays.Because of this reputitation of sends fans crazy with the beats and rhythm.
Ngoma Africa band have numbers of talented musician's including mult-talented soloist Christian Bakotessa aka Chris-B,other is
Said "Jazbo" Vuai,Maxime Buanda,Willy Mbiya, Severn Okomo,Bedi Bella and others
The spirit of the Ngoma Africa Band unites with the sprits and souls of the fans and other audience.
The Ngoma Africa Band have released the album "Mama Kimwaga"(sugar Mum),also numbers of Hit sigles CD,like Apache wacha Pombe(Stop over Drinking alcohol),Anti-Corruption Squard,Single CD "Jakaya Kikwete 2010".
Most of the songs are written in various east African languages.But majority in SWAHILI or KISWAHILI the spoken language in Tanzania and its neighbouring east African countries.
The Ngoma Africa Band bellong to the fans!Musician are just the servant'sIt's the first African band to use is music as cross culture bridge from Tanzania in East Africa to the World!



                                     Kamanda Ras  Makunja With Award  IDA

Monday, September 17, 2012

JAY MOE KUKINUKISHA JIJINI STOCKHOLM SEPTEMBER 28


28TH SEPTEMBER@ALVIKS MEDBORGARHUS.EAST AFICAN NIGHT.
     JAY MOE MCHOPANGA (BONGO FLAVA) TZ FT JAMBO AFRICA KY,PABLO MACHINE AND DJ RICH MIX SOUNDS,


ENTRE: 150 kr

TIME: 22:00-04:00

MORE INFO RING :0727644316.

SIO YAKUKOSA JAYMOE ATAKINUKISHA.

MICHAEL JACKOSN WA MOROGORO

Huyu anatambulika kama Michael Jackson wa Morogoro aliefunika tamasha la fiesta jana mji kasoro bahari,ukitaka kujua alifunikaje nenda shafiidauda utaona unyama wake.

JAY MOE NDANI YA STOCKHOLM USO KWA USO NA MANGULI WA MJI

                         Hapa akiwa katikati ya jiji la Stockholm tayari kukinukisha september 28
                        Hapa akiwa na manguli wa mji Shekhan Rashid na Machupa
                         Jay Moe na Shekhan Rashid wakishow love kwa pamoja

Thursday, September 13, 2012

AUNTY EZEKIEL AOMBA RADHI KWA MASHABIKI KUTOKANA NA PICHA ALIOPIGWA YAKUONEKANA UTUPU WAKE KWENYE FIESTA TANGA.ASEMA SIO MIMI NI BWIBWAKSI

Habari kamili na dartalk.com

KC NA WANYAMA WAKALI WA BONE THUGS N HARMONY NIKISHOW NAO LOVE NDANI YA STOCKHOLM

                          Nilianza na kujipendelea mwenyewe kwa kujifotoa foto,foto

     Gafla kwenye njia za ndani ndani nikagumiana na wanamuziki kutoka marekani Bone Thugs N Harmony nikaomba kupiga nao picha kabla watu hawajajaa.
    Nikaendeleza nao picha wanyama wangu wa Bone Thugs n Harmony watu walipoanza kujaa wakasepa
    Hili ndio gari waliokuja nalo wakalipark uchochoroni kabisa kisha wakaanza kutembea kwa mguu walipostukiwa pakawa hapatoshi wakasepa fasta.
          Hapa Bone Thugs n Harmony wakiwa na marehemu 2Pac ndani ya Marekani.
                           Hapa Bone Thugs n Harmony wakiwa kwenye awards

                     Hapa sasa wapo kazini kama unavyoona mtu wakumwaga wakisababisha.

Monday, September 10, 2012

HUDUMA YA TRAIN YA KWANZA KUANZA KAZI YAKE JIJINI DAR HII NI MOJA YA MAENDELEO YA NCHI YETU

 Ni mawazo mazuri sana walioyawaza serikali na wizara yake kuhusu usafiri huu kwa wananchi wake.Hii huduma itaanza kwa eneo la station kuelekea ubungo.
 Na train hii itakua na mabehewa yasiopungua sita kati ya kumi na mbili ambayo yanatemegewa kuanza kazi yake mwezi wa kumi,kwa maana hii kwa wakazi wa ubungo wanaoelekea mjini watapata unafuu wa usafiri kwa kiasi fulani.
 Serikali imegharimika tsh bilion 4.75 katika kukarabati injini ya train,mabehewa na reli kwa ujumla,


Hongera kwa serikali na wizara yake hii ya usafiri tunategemea huduma hii itakua mji mzima baadae ili kuondoa shida ya usafiri kwa wananchi wake.
 Chanzo cha habari ni issamichuzi.

HII NI KWA WALE WASAFIRI TU


KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE

 Ebana hii ilikua kali kidogo kwangu na watu waliokua wakipita njiani katikati ya jiji la stockholm.Jamaa alikua ameshikilia hiyo fimbo na amekaa juu na hakukua na kitu chochote alichokalia.
 Hii ilifanya kila aliepita pale asimame na kutazama maajaabu hayo na hakuna alielazimishwa kutoa pesa bali alitoa mwenyewe kwa mapenzi yake hii inaonyesha watu wanavyokua na mbinu za utafutaji pesa.
Hapo alikua na mwenzie ambae alikua yupo makini kukataza mtu yeyote anaetaka kukivuta  au kufunua hicho kicapert sasa sijui nini ilikua siri yake hapo,mimi nilichofanya kumpiga picha na kupiga nae picha na kusepa ila sikuunga mimi sababu nilipotea mfukoni.