Monday, January 23, 2012

MFALME YUSUFU AWAKILISHA VYEMA JAHAZI NDANI YA USA

 Mzee Yusufu kiongozi wa kundi la Jahazi alilifikisha vyema jahazi nchini usa na kupagawisha mashabiki wote walioudhulia katika onyesho hilo.Mzee yusuf japo alifika usa peke yke bila kundi lake lakini kazini alioifanya ni sawa kabisa hakuna aliejua kama amekwenda kutoa burudani peke yke.

                                                                Vidole vidole
                                  Mzuka uliwapanda kisawa sawa wakazi wa usa
                               Vidole juu vilinyooshwa kisawa sawa burudani ilipofika mahala pake
                                   Mfalme Yusufu akicheza sambamba na mashabiki wake

Saturday, January 21, 2012

ANAHITAJI MSAADA WAKO MDAU ILI APONE

 Mtoto Josephat mwenye umri wa miaka 16 ana tatizo la uvimbe mkubwa kwenye jicho ambao umetunga usaha na kumsababishia kutoona kabisa kwani kila anavyozidi kukua na uvimbe huo unazidi kuongezeka.


Kwa mujibu wa maelezo yake Josephat amesema tatizo hilo limemuanza tangu akiwa mtoto na hajawahi kupatiwa msaada wowote kwasababu hana ndugu wala mahali pa kuishi na sasa hivi ana tangatanga mitaani baada ya kutoka Dodoma alipokuwa akiishi katika kituo cha basi.
Mtoto huyu amefika leo mchana katika Ofisi EATV/EA Radio akiomba msaada wa matibabu kuhusiana na tatizo hilo ambalo hajui hatma yake itakuwa nini na kiukweli nimejisikia vibaya sana kwani hali yake ni mbaya sana huwezi kumuangalia mara mbili au hata mara moja kama una roho nyepesi tafadhali kama una uwezo msaada wako ni muhimu sana kwakuwa yeye mwenyewe hakupenda ni mipango ya Mungu,Hapo alipo hajui atakula nini wala atalala wapi.TUSAIDIANE!!!


Kama umeguswa na hali ya mtoto huyu na unahitaji kumsaidia kwa njia yoyote ile,Tafadhali tuwasiliane kupitia email marygorethrichard@gmail.com.


Kutoka kwa Dada marygoreth Richard.

Thursday, January 19, 2012

RAISI KIKWETE AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA REGIA MTEMA YALIOFANYIKA KILOMBERO MOROGORO

 Mweshimiwa raisi kikwete akiweka shahada la maua ktk kabuli la Regia Mtema,mbuge wa viti maalum kwa tiketi ya chadema.
                                  Raisi Kikwete akiweka mchanga ktk kabuli la Regia Mtema
Mamia ya wananchi wa Kilombero walioudhuria mazishi ya Regia Mtema wakiwa ktk majonzi makubwa kwa kuondokewa na mtu wao.

Tuesday, January 17, 2012

KADA WA CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AREJEA NCHINI BAADA YA MATIBABU NCHINI INDIA

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.

DARLIVE YAZIDI KUPAMBA MBOTO KTK BURUDANI ZA KILA AINA

                                   Mkata nyonga wa tot akiwajibika jukwaani
 Malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa na kundi zima la tot wakiwajibika ktk ukumbi wa darlive mbagala.
                                              Madee na tiptop nao walikuwepo
                 Umati wa watu ulioudhulia kiota hicho cha maraha kilichopo mbagala wakila bata

MAMIA WAUAGA MWILI WA MAREHEM REGINA MTEMA KTK VIWANJA VYA KARIMJEE DSM

Marehemu Regia Mtema mbunge wa viti maalum kwa tiket ya chadema enzi za uhai wake akiwa maeneo ya bunge dodoma.
 Makamu wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania DKT.BILAL akiaga mwili wa marehem Regia Mtema.
         Mwili wa marehem Regia Mtema ukipelekwa sehem maalum kwa ajili ya kuagwa na wananchi

Spika wa bunge la jamuhuri wa muungano wa Tanzania Anne Makinda akitoa rambi rambi na wasifa wa marehem kwa niaba ya bunge la Tanzania.

BABU TALE WA TIPTOP CONNECTIONS AANDAMWA NA STORY ZA UCHAWI

 Meneja wa kundi la tiptop conection babu tale leo amezungumzia tuhuma zilizoenea kuhusu yeye kwamba ni MCHAWI, stori ambazo zimeandikwa na mitandao mbalimbali.


Moja kati ya mitandao hiyo, umeamplfy kwamba boss huyo wa Tip top connection ni mchawi na huwa anatembea na kibegi chake flani, hakiachi hata awe anaenda, ambapo ukichunguza utagundua kwamba msanii yoyote atakayeingia tiptop connection alaf akaondoka baadae, ndo unakuwa mwisho wa career yake, yaaani lazima apotee kwenye muziki hata kama atajitahidi vipi, mfano ni kwa MB DOGG, PNC, Z ANTO, PINGU, KEISHA na sasa KASSIM ambae ameondoka juzijuzi lakini bado anasikika kiaina ila inasemekana muda c mrefu atachuja
              Kibegi anachotembea nacho babu tale kinachosadikiwa ndio uchawi wote unapatikana humu.

kwa kujibu, Babtale amesema “kuna mambo mengi nafanya mazuri lakini watu hawayaoni, kibegi changu nakitumia kuhifadhi vitu vyangu, kuna laptop na vitu vingine ninavyohifadhi, mtu anaponiandika kwamba Tale mchawi amempoteza msanii huyu, amemdidimiza msanii huyu, wnaashindwa kuelewa kwamba mwanzo mimi ndio nilifanya huyo msanii anga’e, na akiondoka kuwa chini yangu wengi wanafeli kwa sababu hawana MANAGEMENT nzuri”



Babtale anaeongoza TIPTOP CONNECTION iliyotimiza miaka 10 mwishoni mwa mwaka jana, ameongeza kwamba “kuna mambo mengi nafanya lakini hakuna anaesifia, mimi na Said Fela wa TMK family ndio tunamsimamia DIAMOND sasa hivi, tumemrudisha Ferooz na mchiriku wake, tumemrudisha SUMALEE lakini hakuna anae tusifia, watanzania hawakusifii mpaka Ufe, sio kitu kizuri” – BabTale