Saturday, October 15, 2011
Thursday, October 13, 2011
KAMERA YA BLOG ILIPOGONGANA NA OLLE,MSHIRIKI WA IDOL 2011 SWEDEN KATIKATI YA JIJI LA STOCKHOLM
Pamoja
Mwenyewe OLLE amesema kesho ndio fainal ambayo ijumaaa na tv4 wataonyesha mtanange mzima usikose kumtazama kijana mwenye sauti yenye kipaji.
Wednesday, October 12, 2011
HAPPY BIRTHDAY 2U LILIAN NYAKISINDA
Bata looooote lilifanyika humu
moja,mbili,tatu happy birthday 2uuuuuuuuuuuuu!
Cheda ndani ya bata lakufa mtu
Mkubwa Chaz Ndaba na mkewe ndani ya nyumba
Darstockholm na wadau wote tunakutakia maisha marefu yenye kheri ndani yake amen.
Monday, October 10, 2011
LULU POMBE HAUZIWEZI NAKUSHAURI UNYWE TOGWA
Hapa kabla ya kupombeka akiwa na shostito wake
Hapa akiingia ndani ya club billicanas kula bata
Pombe sio chai dada nakushauri unywe togwa tuuu
Hata sio wa moyoni wake ila pombe ilimtuma
Gari limezimika tayari
Kwa hali hii sijui kama alisalimika na watoto wa mjini

Saturday, October 8, 2011
HAKUNA SHABIKI ILIOMUACHA KUMBAMBA HII NGOMA YA KIUMENI NILIPOZALIWA MWANAUME ISIKILIZE.TEMBA FT D.SYKES NAMPENDA YEYE.
Kiukweli kabisa katika ngoma ambayo ilinifanya niwe shabiki mkubwa wa Amani Temba ni hii nampenda yeye,na kama uamini kwanini ilibamba watu mpaka Temba akajizolea mashabiki lukuki play hii ngoma kisha ongeza sauti usisahau kuongeza bass.Nadhani hapo utajua kwanini ilibamba watu na Amani temba mtoto wa chang´ombe unubini alijizolea sifa nyingi kwa nyimbo hii kutokana na ubunifu wa mashahiri,moja ya kipande cha mashahiri yake kilichobamba watu pale aliposema MIDA ILIPOFIKA UMEME SI UKAKATIKA! UTADHANI TANESCO WALIJUA KAMA LEO MIMI NITAUA,ULIPOKUJA KUWAKA TUMECHOKA NYAKA NYAKA.
Na mtu mmoja ambae yupo hapa sweden bila kubisha ilimbamba na hata sasa akiitazama itambamba tena ni Charles Gabriel a.k.a GABU huyu mtoto wa chang´ombe unubini yupo pale goteborg.
Na mtu mmoja ambae yupo hapa sweden bila kubisha ilimbamba na hata sasa akiitazama itambamba tena ni Charles Gabriel a.k.a GABU huyu mtoto wa chang´ombe unubini yupo pale goteborg.
Subscribe to:
Posts (Atom)