Hapa Rama na Petit Man inapendeza sana kazeni wanangu
Naona Tito umeona umsogeze dogo ajue maisha safi sana
Petit Man wakuache inakua ni nini hapo
Tuelekezane mdogo wangu mambo haya unapokua bongo.
Haya ndugu zangu chosheni adui na mipira ya hatari
Kwakumbukumbu zangu hapa Johannesburg station nje
Ndugu yangu Rama ndio umekaa humu hatari ndugu
Mwagilia mbolea jani hilo ling´ae
Kwa wingi wa juice tu siwezi kuisahau dizonga,gonga shoping yko
Usafiri wa Petit man akiwa bongo ndio huu
Kaka Rama vp simu ajaita muda mrefu,mbona mawazo?
Tito hata kama kujikumbusha utoto sio kihivyo mwanangu
Uendeshi tena siku hizi unakaa seat ya nyuma ndugu?
Wenye pretoria yao ndio hawa bwana
Kaka kiboya bado upo kiwanjani?na mbona umesinzia
Ma home boys Ommy na Tito
Tito akiwa bongo na warembo kibaooooooooo