Kiukweli ukitaja wasomi wa uchumi ambao ni Watanzania lazma utaanza na jina la Lipumba mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF.
Hii ikiwa na maana kwa yeyote ambae atamtaja Lipumba kama mpangaji uchumi mkubwa duniani hujakosea,kwani kumbukumbu zangu zinaniambia msomi huyu alipata kazi za kupanga uchumi nchi nyingi duniani ikiwemo Sweden na uchumi wake mzuri ambao upo sawa kabisa kwa raia wa sweden.Dunia ikakaa na kutafakari juu ya msomi huyu na kumchagua kua mwenyekiti wa uchumi Duniani ongera sana pro.Ibrahim Lipumba.Ila swali la kizushi vipi mpangaji huyu wa uchumi mzuri tunae na Tanzania yetu inasua sua?Kweli kwenye miti mingi hakuna wajenzi.