Tuesday, November 29, 2011

BAADA YA BABU MWAISAPILE KUWANYWESHA WATU KIKOMBE FAIDA NDIO HII

                                          Kutoka nyumba ya udongo mpaka ya kisasa.
                                      Babu akiwa katika moja ya magari yake
 Babu Mwaisapile akiwa amepumzika nyumbani kwake baada ya kazi ndefu yakuwanywesha kikombe.Hapo pembeni unaona bafu lake ni lakisasa kabisa.
Hata umeme ukikatika babu yeye kichwa hakimgongi ana solarpower,hata tanesco hataki mkataba nao.