Tuesday, November 29, 2011

HIVI LINI WATANZANIA TUTABADILIKA KWA HILI SWALA LA KUCHUKUA SHERIA MKONONI?

 Mzee anaekadiliwa kua na umri wa miaka 60 walivamiwa na wananchi wenye hasira nyumbani mkoani mbeya na kuanza kumshushia kipigo cha paka mwizi,kwa kile kilichodhaniwa kumshuku ni mshirikina.
Hapa mzee wa watu akijitahidi kuomba msaada baada ya wananchi kutosikia la mtu na kumshushia kipigo.Kiukweli inasikitisha kwa haya majukumu wanayojipa wananchi maana inawezekana hata hafanyi hayo mambo na mkamsababishia mwanadam mwenzenu umauti na sijui mtasema nini kesho kwa mungu kwa kuingilia kazi yake.