Monday, July 30, 2012

PICHA BORA YA LEO

WAISLAMU WATEMBEZA BAKORA KWA WANAOFANYA UKAHABA MWEZI MTUKUFU JIJINI DAR

                                            Ilikua kama shuleni tu bakora kwa kwenda mbele.
                                                    Hatari waislamu si mchezo
                   Kilichobakia ni kujiokoa kwa mbio tu,msichana akijaribu kujiokoa kwa kukimbia.

MFUNGO WA RAMADHANI NA MAJARIBU YAKE DAR

Saturday, July 28, 2012

REY ANAWALETEA MZIGO MPYA WA RAMADHANI UTAKUA SOKONI TAREHE 6 MWEZI WA NANE

                                                      Ganda lake litaonekana hive
     Ukweli mtupu na kitu cha ftari kimetoka ili kuakikisha mzigo haujakosewa.
 Chuchu hans na Batul ndio waliosumbua kwenye mzigo huu tafuta nakala yako ujionee
     Mazingira ya ukweli kabisa huu mzigo sio wakuhukosa kama asemavyo mwenyewe

Wednesday, July 25, 2012

WADAU WANGU WA STOCKHOLM INAKUJE?NIMESHARUDI TAYARI KWA KUTAFUTA MAWE

I MISS U MA BROTHER JABIR A.K.A BIG JAH WA TIMES RADIO

       Picha ya pamoja na ma brother Jabir,wish u all the best bro
     Ukiingia tu unakutana na sehem hii na utagundua sasa umefika Times Radio
                                Picha ya kumbukumbu na bango la times fm.
 Hapa akinionyesha chumba chakutaarishia habari na vipindi vya kila siku ndani ya times fm
    Nilipomaliza kilichonipeleka Times Radio sikushangaa mabango nikasepa twaaaaaa.

KWA WALE WALIOKUA WANAFIKILIA LINI WANAWEZA KWENDA ZNZ TO DAR NA MAGARI YAO NDANI YA MELI, BAKHRESA WAMESIKIA KILIO CHENU

 Hii ni meli ambayo inamilikiwa na kampuni ya azam imeshafika bongo tayari kwa kuanza safari zake dar kwenda znz na kurudi.Pia unaweza ukasafiri na gari lako ndani ya meli ukaenda znz au dar ukafanya mizunguko yako na ukarudi tena na gari yako ndani ya meli hii.
 Kama inavyoonekana kwa ndani sehem ya kukaa magari na watu,haya sasa mkwanja wako tu utakuwezesha kutumia meli hii ya kisasa ya azam.

NYWELE ZA MSANII LINAH ZIMEKUA GUMZO


Thursday, July 19, 2012

ENZOH MANGANJA A.K.A B-MEN

Anakwenda kwa jina la kisanii kama B-MEN jina lake kamili Enzo Manganja anaishi sweden kwa sasa na ameamua kujikita katika sanaa ya muziki na tayari ameshaingia studio akishilikiana na mwenzie aitwae SEAN TWAK muda si mrefu nitawatundikia nyimbo yao hiyo kaeni mkao wa kuisikiliza wadau dogo anakipaji.

ZOEZI LA UOKOAJI WA WATU BAADA YA MV.STAR GATE KUZAMA

HAYA NDIO MAAFA YALIOSABABISHWA BAADA YA MV STAR GATE KUZAMA INASIKITISHA SANA

    Baadhi ya abiria wakiwa juu ya meli baada ya kupinduka,hapa wakisubiri msaada
    Waokoaji wakiwa kazini kuakikisha wanaokoa maisha ya watu
   
     Hapa ndio paliponiliza mimi malaika maskini wa mungu wakiwa wameshafariki.Serikali tunawaomba muwajibike kwa wanaofanya uzembe juu ya maisha ya watu kwa maslahi yao tazama hawa malaika dah mungu uwalaze pema wale wote waliofariki katika ajari hii amen.
     Umati wa watu uliofika kuwatambua ndugu zao,poleni watanzania,poleni mliofiwa mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu.

Tuesday, July 17, 2012

TUSAIDIANE WADAU MKE NA MUME NANI MUONGO ZAIDI?

CHEGE APATA AJALI TEMEKE ILIOSABABISHWA NA PIKIPIKI

 Hapa Chege akiwa amenusulika katika ajali mbaya kama gali yake inavyoonekana hapo chini
    Gari ya Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi ikiwa imeumia vibaya,pole home boy.Picha na habari kwa hisani ya temekepamoja.

KIBIASHARA ZAIDI,HAPA NAZUNGUMZIA TEMEKE PAMOJA

Muonekano wa fulana za temeke pamoja sasa zipo kitaani zikiwa na rangi tofauti,kwa wanaohitaji wasiliana na mmiliki wa tmk pamoja Rado kwa simu +255715454543 popote ulipo itakufikia ata wa nje ya nchi.Pia kaeni mkao wa kula kuzipokea za darstockholm

MUENDELEZO WA PICHA ZA MATUKIO YA HARUSI YA SAID MBEGU NA SAMMY

        Kaka mkubwa Said Mbegu akishuka tayari kwa kuelekea kwenye tukio
     Nyuso za furaha kabisa ndoa nzuri bwana asikwambie mtu ngoja nami nifanye fanye.
     Hapa Familia imetimia kabisa naona nilikosekana mimi tu Kc.
   
    Maua sasa yakumwaga hapa Nasra,Lilian na Linda
     Mkubwa Kutenga nae alikuwepo kumsindikiza kaka Said kwenye kufunga pingu za maisha
     Adrey akishow love pamoja na maharusi na familia yao
     JJ,kaka Liban na Seleman wakibadilishana mawazo kwenye shughuli hyo
     Kaka mkubwa anakwenda kama Mjapenga akiwasili
                          Mjerumani,Abui hapa wakiwa ndani ya majumba mlitokelezea sana
   Hapa majembe sasa Herry,Machupa,JJ na William John jamani ebu nipeni hizo pincode za hizi pamba mmetupia ile ile .

      Kaka Ndizi nae alifika kumsindikiza Said Mbegu
     Mlezi wa vijana wa Stockholm mzee Hawale huyu mimi zaidi ya mzazi wangu,wadau mmeshanielewa hapa akiwa na mwanamitindo mkubwa wa nywele hapa Stockholm Papa Matha mutu ya kilo.Wadau nawaomba mnisaidie jina la huyu kaka pembeni nae nataka kumtendea haki.
                        Kaka Jafari hizi pigo za wapi maana umetupia mbaya
      Upande wa mziki mtamboni kama kawaida si mwingine ni Dj Richie
 Papa Matha mutu ya kilo ningependa kujua hii suti yako imeghalimu kiasi gani kaka