Friday, November 18, 2011

JEMBE LANGU LINAPOKUA KAZINI KUTETEA TAIFA

Mchezaji anaecheza soka la kulipwa nchini sweden Machupa hapa akijaribu kuwatoka mabeki wa Chad katika mechi yakusaka tiketi yakucheza kombe la dunia.Mechi ilikua ya marudiano ambayo ilichezwa uwanja wa taifa na Tanzania ikitoka uwanjani kwa kudungwa goli moja kwa bila,ila Tanzania wamekwenda hatua ya makundi kwa ushindi goli la ugenini walioupata mechi ya kwanza nchini Chad.Starz walishinda 2-1.