Tuesday, November 8, 2011

MAFUTA YA TRANSFOMA YAFUPISHA MAISHA YA KIJANA HUYU.

 Kijana huyu ambae inasemekana alikua katika harakati za kuiba mafuta ya transfoma katika nguzo za umeme,Kwa taarifa ambayo imepatikana bugando jijini mwanza kila jana huyu alikutwa asubuhi ananing´inia ktk nyaya za umeme.
 Hapa mafuti wa tanesco wakiwa katika harakati za kuutoa mwili wa kijana huyo ambao uliganda katika nyaya za umeme.
                                              Hapa kijana akiwa ameshafariki
Tanesco wamelizungumzia hili kua ni tatizo kubwa sana ktk nchi ya Tanzania watu ufungua matransfoma na kuiba mafuta.
  Asante unigue entertainment.