Monday, March 5, 2012

ANAESEMA AJANYWA VIKOMBE MWANZO WAKE WA KUJIFUNZA HILI ZOEZI MUONGO

                          Hapa hali ilikua mbaya sana hata tumbo ukitazama nimeshiba maji
                                          Yanayokuingia puani sikwambii mdau
Hata mmbuyu ulianza kama mchicha jamani sasa hivi naelea baada ya week 2 mbele nitakua kuliko samaki hope so.Kiukweli kuogelea n starehe nzuri hasa ukiijua na nimazoezi pia mdau.Kwa sisi watz wengi wetu hatujui kuogelea kiukweli noma sana na ndio maana nikaliona hili na nimeanza kujifunza hiki kitu na wewe anza leo utaona umuhimu wake.