Saturday, July 14, 2012

NYUSO ZA HUZUNI BAADA YA KUCHELEWA NDEGE

    Hii ilikua pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwl.Nyerere Dar es salaam,nilijikuta nimefika airport na kukuta sehem ya ukaguzi(chek in)imeshafungwa na ndege ikawa inangoja muda wa kuondoka tu.Kiukweli sikua na muda kabisa wa kuuliza kwanini au itakuaje nitajikusanya na mwanangu Rado mzee wa temekepamoja.blogspot.com tukarudi home kupiga mbonji na pia nikasema Alhamdulillah maana hakuepushalo mungu mda mwingine linakheri na wewe nami nikashukuru.
     Hapa tulijikuta tumepigwa picha tukiwa wenye huzuni mimi na Rado.