Thursday, July 19, 2012

ENZOH MANGANJA A.K.A B-MEN

Anakwenda kwa jina la kisanii kama B-MEN jina lake kamili Enzo Manganja anaishi sweden kwa sasa na ameamua kujikita katika sanaa ya muziki na tayari ameshaingia studio akishilikiana na mwenzie aitwae SEAN TWAK muda si mrefu nitawatundikia nyimbo yao hiyo kaeni mkao wa kuisikiliza wadau dogo anakipaji.