Wednesday, July 25, 2012

KWA WALE WALIOKUA WANAFIKILIA LINI WANAWEZA KWENDA ZNZ TO DAR NA MAGARI YAO NDANI YA MELI, BAKHRESA WAMESIKIA KILIO CHENU

 Hii ni meli ambayo inamilikiwa na kampuni ya azam imeshafika bongo tayari kwa kuanza safari zake dar kwenda znz na kurudi.Pia unaweza ukasafiri na gari lako ndani ya meli ukaenda znz au dar ukafanya mizunguko yako na ukarudi tena na gari yako ndani ya meli hii.
 Kama inavyoonekana kwa ndani sehem ya kukaa magari na watu,haya sasa mkwanja wako tu utakuwezesha kutumia meli hii ya kisasa ya azam.