Tuesday, July 17, 2012

MUENDELEZO WA PICHA ZA MATUKIO YA HARUSI YA SAID MBEGU NA SAMMY

        Kaka mkubwa Said Mbegu akishuka tayari kwa kuelekea kwenye tukio
     Nyuso za furaha kabisa ndoa nzuri bwana asikwambie mtu ngoja nami nifanye fanye.
     Hapa Familia imetimia kabisa naona nilikosekana mimi tu Kc.
   
    Maua sasa yakumwaga hapa Nasra,Lilian na Linda
     Mkubwa Kutenga nae alikuwepo kumsindikiza kaka Said kwenye kufunga pingu za maisha
     Adrey akishow love pamoja na maharusi na familia yao
     JJ,kaka Liban na Seleman wakibadilishana mawazo kwenye shughuli hyo
     Kaka mkubwa anakwenda kama Mjapenga akiwasili
                          Mjerumani,Abui hapa wakiwa ndani ya majumba mlitokelezea sana
   Hapa majembe sasa Herry,Machupa,JJ na William John jamani ebu nipeni hizo pincode za hizi pamba mmetupia ile ile .

      Kaka Ndizi nae alifika kumsindikiza Said Mbegu
     Mlezi wa vijana wa Stockholm mzee Hawale huyu mimi zaidi ya mzazi wangu,wadau mmeshanielewa hapa akiwa na mwanamitindo mkubwa wa nywele hapa Stockholm Papa Matha mutu ya kilo.Wadau nawaomba mnisaidie jina la huyu kaka pembeni nae nataka kumtendea haki.
                        Kaka Jafari hizi pigo za wapi maana umetupia mbaya
      Upande wa mziki mtamboni kama kawaida si mwingine ni Dj Richie
 Papa Matha mutu ya kilo ningependa kujua hii suti yako imeghalimu kiasi gani kaka