Thursday, July 19, 2012

HAYA NDIO MAAFA YALIOSABABISHWA BAADA YA MV STAR GATE KUZAMA INASIKITISHA SANA

    Baadhi ya abiria wakiwa juu ya meli baada ya kupinduka,hapa wakisubiri msaada
    Waokoaji wakiwa kazini kuakikisha wanaokoa maisha ya watu
   
     Hapa ndio paliponiliza mimi malaika maskini wa mungu wakiwa wameshafariki.Serikali tunawaomba muwajibike kwa wanaofanya uzembe juu ya maisha ya watu kwa maslahi yao tazama hawa malaika dah mungu uwalaze pema wale wote waliofariki katika ajari hii amen.
     Umati wa watu uliofika kuwatambua ndugu zao,poleni watanzania,poleni mliofiwa mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu.