Monday, September 10, 2012

HUDUMA YA TRAIN YA KWANZA KUANZA KAZI YAKE JIJINI DAR HII NI MOJA YA MAENDELEO YA NCHI YETU

 Ni mawazo mazuri sana walioyawaza serikali na wizara yake kuhusu usafiri huu kwa wananchi wake.Hii huduma itaanza kwa eneo la station kuelekea ubungo.
 Na train hii itakua na mabehewa yasiopungua sita kati ya kumi na mbili ambayo yanatemegewa kuanza kazi yake mwezi wa kumi,kwa maana hii kwa wakazi wa ubungo wanaoelekea mjini watapata unafuu wa usafiri kwa kiasi fulani.
 Serikali imegharimika tsh bilion 4.75 katika kukarabati injini ya train,mabehewa na reli kwa ujumla,


Hongera kwa serikali na wizara yake hii ya usafiri tunategemea huduma hii itakua mji mzima baadae ili kuondoa shida ya usafiri kwa wananchi wake.
 Chanzo cha habari ni issamichuzi.