Thursday, September 27, 2012

KAA MKAO WA KULA MDAU KUNA MUUNGANO WA TEMEKEPAMOJA NA DARSTOCKHOLM MUDA SI MREFU TUTAWAJUZA BAADA YA MAKUBALIANO

    Hapa nikiwa na mmiliki wa temekepamoja.blogspot.com Radhani Suley a.k.a Rama Rado.Kiukweli kuna muungano baina yetu mimi na huyu rafiki yangu toka maisha ya street,nini kitatufanya tuungane kaa mkao wa kujua mdau wangu.Kwa sasa tupo katika kuweka mambo sawa ili kufikia lengo muda si mrefu tutawajuza.
          Hapa maeneo yetu ya kujidai temeke na ndipo nilipotokea Kc mimi na Rado
    Hapa Rado akiwa ameweka pozi na kimeo cha darstockholm hii siku ndio yalianzia mazungumzo yetu juu ya muungano yatakayoleta maendeleo ya maisha na jinsi yakulishika game la Dar es salaam.Usikose kupitia darstockholm.blogspot.com na temekepamoja.blogspot.com