Thursday, September 6, 2012

NILIPOKUTANA NA HAWA WANANGU NILIKUA NAFURAHA KAMA NIMEZALIWA UPYA.NI WANANGU NILISKONGA NAO PALE AZANIA A.K.A AZA BOY

 Huyu hapa mwanangu wakuitwa Peter Sharua  tulipiga stori nyingi sana siku hii kuanzia mchana flani mpaka  usiku club maisha pale kati ikawa full bata mwanga mwenga.
 Hahahaha jamaa wa kati wakuitwa Faraji Said mtoto wakishua mitaa flani Mikocheni akiwa  na watoto wa uswazi Peter na mimi mwenyewe mtoto wa bibi Kc ebwana hii siku sitoisahau tuliongea mengi sana.
                          Ndugu yangu Faraji kazi za ofisini hzo zinakutoa kitambi punguza masanga
Kiukweli mimi katika maisha yangu hukumbuka sana nilipotoka kuliko napokwenda na hii inanifanya nisimame imara tena bila uoga na kwa kujiamini zaidi nikimuacha mwenyezimu mungu ndio mlinzi wa kila hatua yangu na ndio maana mpaka leo nipo hai na najitegemea na bila ya kumuogopa binadam mwenzangu zaidi ya kumuheshimu.Hawa jamaa ni miongoni mwa marafiki zangu wakati nipo secondary Azania pale Muhimbili kwa watoto wa Dar mshapajua,Kiukweli tulikua marafiki wazuri sana na sasa nimewakumbuka tena nikawatafuta na tukala bata siku nzima kisha nikawarudisha majumbani kwao.