Thursday, September 13, 2012

KC NA WANYAMA WAKALI WA BONE THUGS N HARMONY NIKISHOW NAO LOVE NDANI YA STOCKHOLM

                          Nilianza na kujipendelea mwenyewe kwa kujifotoa foto,foto

     Gafla kwenye njia za ndani ndani nikagumiana na wanamuziki kutoka marekani Bone Thugs N Harmony nikaomba kupiga nao picha kabla watu hawajajaa.
    Nikaendeleza nao picha wanyama wangu wa Bone Thugs n Harmony watu walipoanza kujaa wakasepa
    Hili ndio gari waliokuja nalo wakalipark uchochoroni kabisa kisha wakaanza kutembea kwa mguu walipostukiwa pakawa hapatoshi wakasepa fasta.
          Hapa Bone Thugs n Harmony wakiwa na marehemu 2Pac ndani ya Marekani.
                           Hapa Bone Thugs n Harmony wakiwa kwenye awards

                     Hapa sasa wapo kazini kama unavyoona mtu wakumwaga wakisababisha.