Saturday, October 1, 2011

BONGO!BONGO! HATA UKIWA UFUKWENI KWA SASA UNAENDELEA NA KUWASILIANA NA WENZIO KTK USO WA KITABU.



Mrembo lulu akiwa ndani ya ufukwe jijini dar akipata upepo mwanana wa bahari huku  akiendelea kuwasiliana na marafiki wake wa facebook.
by wanjanjaclub