Saturday, October 8, 2011

HAKUNA SHABIKI ILIOMUACHA KUMBAMBA HII NGOMA YA KIUMENI NILIPOZALIWA MWANAUME ISIKILIZE.TEMBA FT D.SYKES NAMPENDA YEYE.

Kiukweli kabisa katika ngoma ambayo ilinifanya niwe shabiki mkubwa wa Amani Temba ni hii nampenda yeye,na kama uamini kwanini ilibamba watu mpaka Temba akajizolea mashabiki lukuki play hii ngoma kisha ongeza sauti usisahau kuongeza bass.Nadhani hapo utajua kwanini ilibamba watu na Amani temba mtoto wa chang´ombe unubini alijizolea sifa nyingi kwa nyimbo hii kutokana na ubunifu wa mashahiri,moja ya kipande cha mashahiri yake kilichobamba watu pale aliposema MIDA ILIPOFIKA UMEME SI UKAKATIKA! UTADHANI TANESCO WALIJUA KAMA LEO MIMI NITAUA,ULIPOKUJA KUWAKA TUMECHOKA NYAKA NYAKA.
Na mtu mmoja ambae yupo hapa sweden bila kubisha ilimbamba na hata sasa akiitazama itambamba tena ni Charles Gabriel a.k.a GABU huyu mtoto wa chang´ombe unubini yupo pale goteborg.