Monday, October 3, 2011

DIMOND AMVISHA PETE YA UCHUMBA WEMA SEPETU .

 Hii ilikua siku ya jumamosi ktk ukumbi wa new maisha club, siku ambayo Dimond alikua anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.Nakumbuka siku ya jumamosi nilipoamka nikawasha computer na kusikiliza cloud fm live ktk kipindi cha bongo fleva katikati ya kipindi akapigiwa simu dimond ili awafahamisha mashabiki wake nini amewaandalia ktk siku hyo ya kuzaliwa kwake?Dimond akajibu ebwana mtu mzima nimewaandalia mengi mazuri mashabiki wangu na hii inatokana na ndio siku ya kwanza kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwani hapo mwanzo sikua na uwezo wakufanya sherehe yangu ya kuzaliwa.
So watu wangu wooote mtakaofika pale maisha club mida ya saa tatu hadi nne usiku hivi inabidi mtupie vitu vya maana kwani kutakua na red capert pale na pia utapata kupiga picha nami kama kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa ambayo ndio ya kwanza kuifanya toka nizaliwe.

Kuuuuubwa zaidi watu wangu nimeandaa suprise kwa mpenzi wangu Wema Sepetu ambayo watu woote mtashuhudia kwahyo watu wangu msikose.mwisho wa kunukuu.

Kwa maana hii Dimond na Wema ni wachumba na muda si mrefu itafata harusi.