Friday, December 2, 2011

MR EBBO AFARIKI DUNIA

Kwa huzuni mkubwa Mashabiki wa mziki wa bongo fleva na familia yake kwa ujumla imepokea taarifa ya kifo cha Mr Ebbo kilicho tokea jana kilichotokea ktk hospital ya mount meru.
Mungu amlaze maali pema mr Ebbo amen.