Tuesday, June 12, 2012

MDOGO WANGU AMEFUNGA SHULE TAYARI KWA KULA BATA NA KAKA YAKE

 Wadau namtambulisha kwenu mdogo wangu anaenifatia Saleh a.k.a Moze hapa nilikwenda kumchukua shuleni alipofunga tayari kwa kula bata na bro.
                                  Kaka hata mimi nina mapozi ya picha pia
                                  Hapa Kc pale Moze full majanga
                                          Moze na marafiki
 Moze na Mama,Kiukweli huyu mama yake mdogo wangu ila kabla ya moze kuzaliwa alikua ananipenda sana nadhani kuliko hata anavyompenda Moze mpaka sijamjua mwanamke gani huyu mwenye roho hii na mpaka sasa ananipenda kuliko mwanzo nami namwona kama mama yangu mzazi.
Watoto wa siku hizi kila kitu wanajua Moze alishika taliki salamanda na kunifotoa wakati nadrive.