Tuesday, June 12, 2012

TAARIFA YA KISOMO

NDUGU TANZIA ISMAIL MAARUFU BIG AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI NYUMBANI,NA KISOMO CHA MZAZI WETU HUYO KINATEGEMEWA KUFANYIKA 23/06/2012.SEHEM GANI ITAKAPOFANYIKIA KISOMO NA MUDA MTAJULISHA HAPA.

KWA WALE WANAOPENDA KUMPA POLE AU MCHANGO ILI KUFANIKISHA KISOMO HIKI CHA  MWENZETU ISMAIL KWA KUONDOKEWA NA MZAZI WAKE UNAWEZA KUWASILIANA NAE KWA NAMBA 07347903996.KWA UPANDE WA MICHANGO PIA UNAWEZA KUMPIGIA EDDY WA SALOON T.CENTRALEN KWA NAMBA 0761553869.

KUFIKA NA KUCHANGIA KWAKO NDIO KUFANIKISHA KWA KISOMO CHA MZAZI WETU HUYU ALIETUTANGULIA MBELE YA HAKI.

TAFADHALI UPATAPO TAARIFA HII MJULISHE NA MWENZIO.

MUNGU AMLAZE PEMA MZEE WETU AMEN.