Wednesday, June 13, 2012

NIMEPATA MUALIKO TIMES FM LEO SA MBILI USIKU

Wadau wangu wa sweden,Dar na kwengineko leo nimepata mualiko pale times fm radio na mwendesha kipindi kinachohusu maisha na vijana,kinachoongozwa na Jabir a.k.a big jah.Ukitaka kusikiliza online gonga www.timesfm.co.tz utamsikia kc live na kwa picha za matukio nitawatundikia baada ya kumaliza kipindi.Muda utakua sa mbili usiku ya tz na sweden itakua sa moja usiku tega sikio.