KC
Kc n mpnz
Pokea keki tayari kwa kuzima mishumaa
Mimi nilijianzishia mwenyewe kula keki
Akafata mpnz
Kaka mkubwa Ally
Capten JJ
Mwamba akafata
Dada Kabwe akafata
Kaka Mweneu si uweke simu chini kidogo!
Kulishwa muhimu
Zamu ya mama Hakeem ilifika
Baba Hakeem(Yunus)
Wakati wa tumbo
Chakula na stori za hapa na pale
Pamoja tunawakilisha
Ziro distance
Japo tumetolewa zawadi nimepokea thx Natalice
Ndugu wadau naomba mtambue hili:Najua wapo wapowatakaonishushia mzigo wa lawama kwa kutowajulisha kujumuika nami sio kosa langu habari ilikua hivi.Mimi nimetoka zangu kazini naingia home mlangoni nakuta viatu kibao mara naanza kuimbiwa nikabaki mdomo wazi hata sikua nakumbuka kama tar 9 december ndio nimezaliwa likanishuka wadau,na hawa wote unaowaona hata kunijulisha kwa msg hawakunistua gafla nawakuta mjengoni kwangu.Hope mmenielewa na kuniwia radhi kwa hili.By the way shukrani kubwa zikufikie mpenzi wangu Zakia coz yeye ndio alioandaa kitu hichi imeleta maana kubwa kwangu thx a lot sina cha kukulipa.Na jambo ambalo usilolijua mdau wangu ni kwamba?hii ndio mara yangu ya kwanza kufanyiwa Birthday si unajua tena mtoto wa uswazi hakunaga vitu kama hivi huwa siku ikifika hatujui na tunakauka tu.