Monday, December 19, 2011

KING MAJUTO-MIMI SIPO HOI KITANDANI KAMA MEDIA ZISEMAVYO

Msanii wa siku nyingi katik ulingo wa sanaa ya vichekesho king Majuto.Akanusha habari zilizoenea katika vyombo vya habari kwamba ni mgonjwa sana na yupo hoi kitandani.Kwakweli nimekitishwa na hii habari na hasa itakua imewapa wasi wasi mashabiki wangu.Ukweli ambao nautoa mdomoni kwangu ni kwamba nilifanya upasuaji mdogo na haikufikia hatua ya kua hoi na kwa sasa nipo sawa kabisa tayari kwa kuendeleza libeneke na sanaa ya vichekesho.