Wednesday, January 25, 2012

AFUNGA NDOA NA MAITI YA MCHUMBA WAKE KABLA YA KUZIKWA.

 Mkurugenzi ktk kituo cha televisheni moja nchini Thailand Chadil Deffy aamua kuonyesha upendo wake wa dhati kwa mchumba wake serinya baada ya kifo chake.
Jamaa alichukua jukumu la kumuoa mchumba wake akiwa tayari maiti,alieleza kwa uma aliamua kufanya tukio hilo kwa kua walishapanga na mchumba wake huyo wa siku nyingi waoane kwa bahati mbaya akapata ajali na kufariki.Baada ya kufunga nae ndoa mchumba wake kitendo kilichofata ni kumzika mke wake huyo.Jamaa aliamua kusambaza picha katika mtandao wa facebook na youtube.