Sunday, January 8, 2012

CHALZ BABA AICHA SOLEMBA TWANGA PEPETA

Aliekua mwanamuziki wa twanga pepeta kisiwa cha burudani ameiacha rasmi bendi hiyo na kua msanii huru.Akisema hayo mbele ya waandishi wa habari,pia alitumia nafasi hyo kumtambulisha msimamizi wake mpya kwa waandishi wa habari ambae ataratibu kila kitu chake kwa bendi yeyote ambayo itakua tayari kujiunga nayo.Amemtaja meneja wake huyo ambae ni Bernard msekwa.

Kwa upande wa mashabiki wa twanga pepeta wamefikwa na huzuni mkubwa juu ya uamuzi huo wa mwanamuziki huyo ambae alikua ndio nguzo yao iliobakia baada ya kuondokewa na wanamuziki wengine muhimu katika bendi hyo.