Monday, January 23, 2012

MFALME YUSUFU AWAKILISHA VYEMA JAHAZI NDANI YA USA

 Mzee Yusufu kiongozi wa kundi la Jahazi alilifikisha vyema jahazi nchini usa na kupagawisha mashabiki wote walioudhulia katika onyesho hilo.Mzee yusuf japo alifika usa peke yke bila kundi lake lakini kazini alioifanya ni sawa kabisa hakuna aliejua kama amekwenda kutoa burudani peke yke.

                                                                Vidole vidole
                                  Mzuka uliwapanda kisawa sawa wakazi wa usa
                               Vidole juu vilinyooshwa kisawa sawa burudani ilipofika mahala pake
                                   Mfalme Yusufu akicheza sambamba na mashabiki wake