Tuesday, January 17, 2012

MAMIA WAUAGA MWILI WA MAREHEM REGINA MTEMA KTK VIWANJA VYA KARIMJEE DSM

Marehemu Regia Mtema mbunge wa viti maalum kwa tiket ya chadema enzi za uhai wake akiwa maeneo ya bunge dodoma.
 Makamu wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania DKT.BILAL akiaga mwili wa marehem Regia Mtema.
         Mwili wa marehem Regia Mtema ukipelekwa sehem maalum kwa ajili ya kuagwa na wananchi

Spika wa bunge la jamuhuri wa muungano wa Tanzania Anne Makinda akitoa rambi rambi na wasifa wa marehem kwa niaba ya bunge la Tanzania.