Wednesday, January 25, 2012

MAITI IMEBEBWA KATIKA PIKIPIKI BUKOBA,SIJUI NANI WA KULAUMIWA KWA HILI.

 Dereva wa pikipiki aliebeba maiti huko mkoani nukoba akiwa ktk mapumziko kabla ya kuendelea na safari yke.
Kiukweli inasikitisha na niukiukwaji wa haki za binadam na sijui nani alaumiwe hapa maana kweli kuna sehem kubwa ya nchi yetu Tanzania watu maskini sana.Kama ujioneavyo maiti inavyodhalilishwa kwa kubebwa katika piki piki na kufungwa na mipira kama mzigo wa kuni.Hivi leo hii tupo karne ya 21 na mambo bambo si shwari nchi yetu sijui nani wa kumtupia lawama.