Thursday, May 24, 2012

AIDA BRIDAL SHOWER AKINA MAMA/DADA HII SI YAKUKOSA KABISA NA NDIO ITAKUA YAKWANZA KUTOKEA NCHINI SWEDEN

AKINA MAMA/DADA WASWEDEN

KARIBUNI SANA WOTE TUJUMUIKE KWA PAMOJA KWENYE BRIDAL SHOWER YA AIDA KAMUSI.

ITAFANYIKA SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 27-05-2012 KUANZIA SAA TISA MCHANA(15:00)SEHEMU NI SÖNDAGSVÄGEN 7,KASTANJEGÅRDEN-HÖKARÄNGEN  STOCKHOLM-  SWEDEN

KUFIKA KWAKO NDIO KUFANIKISHA SHUGHULI HII UKIPATA TAARIFA HII MFAHAMISHE MWANAMKE MWENZIO.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:LATIFA TEL:0738908889