Monday, May 21, 2012

WACHAWI WALIOKAMATWA KANISANI MWANZA WASIKILIZE

Ama kwa hakika dunia yetu inamengi sana kwa haya nilioyasikia kutoka midomoni mwa hawa wachawi waliokamatwa mwanza imenifanya mwili wangu kukosa nguvu.Hvi unawezaje kua na uwezo wa kusafiri kwa ungo au mkuki na kwenda sehem na kumchukua mtu akauliwe?