Thursday, May 31, 2012

FC KILIMANJARO ILIPOANGUSHA MVUA YA MAGOLI KATIKA MECHI YAKE YA LEAGUE DARAJA LA CHINI HAPA SWEDEN.SISI 9 WAO 2


      Wakubwa wa jiji la stocholm Adam na Mayanga wakiingia uwanjani tayari kwa kutazama mpira
     Hii ni sehem ya pasi zinazopigwa na fc kilimanjaro mpaka goli likaingia fatilia
      Jembe Mgaya analeta cross ndani huku mshambuliaji hatari Mkangwa  akijitaalisha
                                   Mkangwa anausogelea mpira
                                       Anafuga goooooooooooooooool
     Bataokota kunyavu chezea Mkangwa wewe a.k.a mvuvi anazijua nyavu huyu jamaaaa!

       Hahahaahaha anajua kshangilia huyu jamaa kuliko gyan Asamoah


      Mkangwa a.k.a Mjo,a.k.a mvuvi wa magoli wa Fc kilimanjaro.Style gani hii kaka?nijuze
      Baba Nayla zamani Moro United kipindi hicho Juma kaseja,Jamil mjomba wote walimueshimu kama Capten wao na jana alirudishiwa kitambaa chake na akatuonyesha capten anatakiwa afanyaje.


 


    Fc Kilimanjaro kwa pasi hatari muone huyu kijana anaitwa Messi wa Sweden akipiga kibao wadau wa mpira mmenielewa kibao ni nini.   Hapa kulikua upande wa mashabiki wa fc kilimanjaro uliongozwa na Zam Khalifa,Mzee Hawale a.k.a baba yangu wa sweden na kaka Liban
     Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Machupa nae alikwepo kuishangilia fc kilimanjaro ajivungi.
    Nawaleteeni jeeeeeeeeeembe la ukweli William John huyu kijana alimnyimaga sana usingizi Suleyman Matola Veron pale simba kipindi hicho kocha james sianga kama sikosei
     huyu jamaa namkubali kitu kimoja miguu yake na macho vinamawasiliano vzri kama uamini shuka na picha utakubali.

                                          Nadhani umekubali    Yusufu a.k.a Midolonyo mshkaji namkubali sana kama na wewe haumkubali chuki

                                                    Abui Fuad Rashid
                                 Hamfrey jembe udhamini kaka tunakukubali endeleza
 Haha hapa mwanangu William John aliamua kunipa tano na lawama kibao nimejificha sana.Sio mm kaka cd ilijizonga ndiomana ila kwa sasa kila kitu kipo sawa am a free man chakachua nikuchakachue.
                                                      A.k.a Mikel Obbi
                                            Mgaya na Evans wakiwa mapumziko
                            Kiongozi Teyla yupo na fc kilimanjaro toka tunaianzisha 2007 safi
                               Jembe jipya la fc kilimanjaro Jafari Katembo

                   Bechi la fc Kilimanjaro liliongozwa na Kaka Andrew na JJ

             Said Mwarabu na Tajiri Eddy wakiteta chukua mkopo kaka kaja matembezi huyo

                                  Heka heka langoni

     Utu uzima dawa Evans akiwajibika sisi wengine tumestahafu yeye bado anabishana na vijana tu.

      Jafari Katembo akipiga vitu vya Beckham nakumbuka nilikua mpigaji mzuri wa hizi mpaka nikaitwa Beckham sasa hivi kwishaaaaaaaaaaa nashika camera.
           Mlinda mlango wa fc kilimanjaro Adrey akiwa kazini

     Shekhani rashid huyu ndio yuleeeeeeee aliepiga penati kwenye maji pale taifa simba na Zamalek mpaka mapumziko simba wanaongoza bao 2 na ilitakiwa ipate 1 lanyongeza iendelee mbele dah uwanja ukajaa maji wakajaribu kutoa maji kwa magodolo wapi mechi ikapangwa siku inayofuata ndio msiba ukarudi msimbazi japo simba walishinda 1 haikusaidia.
                                         Messi wa sweden


           Hakuna goli bana

                                              Shangaa akupite huyo
                       Nilisema


            Ni mvua tu ya magoli ilikua                Jeshi likirudi tayari limeacha maafa kwa wapinzani

                      Jamaa walijitutumua lakini wapi        Hahaha jamaa nadhani jana alilala na panadol apana chezea Mkangwa.
            Yusuf Midolonyo              Alishangilia mpaka akachoka
     Bataokota kunyavu Mchezaji wakimataifa Machupa yeye hakuja peke yake alikuja na mwenzie linda mali mzazi


 Meneja Nyupi yeye kwa sasa ndio kashika gurudumu la fc kilimanjaro usichoke mkubwa.
       Ashukuliwe mungu aliejuu hata Messi wa barca anashangiliaga hivi
         Mpira umekwisha wakapeana mikono ishara ya upendo


         Fc kilimanjaro juuuuuuuuuuuuuuuuuu