Friday, May 11, 2012

YAYA TOURE:MWANZO MGUMU NILIANZA KUCHEZA MPIRA PEKUPEKU

Yaya Toure katikati akikokota mpira huku akiwa pekupeku kipindi hiiiiicho mdogo katika club ya asec memosac.Hapa ndio utagumdua hakuna kitu rahisi katika kupata maisha mazuri.Kama unavyojua hivi viwanja ukicheza peku nini unakutana nazo(miba)Lakini jamaa alikomaa na mpaka sasa amefikia malengo yake ni mchezaji anaelipwa pesa nyini katika timu ya Manchester City.Picha kwa hisani ya shafiidauda.