Friday, May 18, 2012

WADAU WA SOKA VIONGOZI NA MASHABIKI WAJITOKEZA KUMUAGA PATRIK MAFISANGO

 Wachezaji wa timu ya taifa,taifa stars wakiwa wamebeba jeneza la Mafisango tayari kwa kuagwa na wadau wa soka.
 Haruna Moshi(Boban)akilia kwa uchungu sana baada ya kuona mwili wa rafiki yake kipenzi Mafisango
 Boban akiwa kwenye huzuni mkubwa  na kutoamini kama kweli Mafisango atocheza nae tena mpira.Pole kaka ndio mipango ya mungu.Mungu akupe subra katika kipindi hiki kigumu.

 Umati wa watu walijitokeza Tcc chang´ombe temeke kwa ajili ya kumuaga kipenzi chao Mafisango
                                  Makumbi Juma homa ya jiji katikati nae alikuwepo
                                 Suleyman Matola kulia nae alijumuika ktk kumuaga Mafisango
                                Capten wa Simba Juma Kaseja akilia kwa uchungu sana.
                                  Kocha wa Simba nae alishindwa kuzuia hisia zake akilia.
 Jamani linapofika swala la msiba au tatizo kwa mwenzio sio vizuri kuchekelea.Huyu ni Shabiki maarufu wa Yanga yeye kwake ilikua kicheko tu hapo msibani sasa sijui ndio uzalendo gani huu.
Wachezaji wa timu ya taifa na makocha wakiwa katika huzuni mkubwa ,wao walitokea kambini moja kwa moja kwenda kumuaga Mafisango.Wewe umetangulia na sisi tupo nyuma yako R.I.P MAFISANGO.
Picha zote kwa hisani ya shafiidauda.