Monday, May 21, 2012

WACHAWI WAKAMATWA KANISANI MWANZA WAKITOKEA KIGOMA

 Hapa wakiwa katika mahojiano na vyombo vya habari huku wakisimamiwa na polisi na kuongea kila kitu.Chakusikitisha zaidi huyo dada yeye ni mjamzito je vipi kiumbe atakachokizaa kitakua na muongozo gani?kwa kweli hali hii inatisha sana.Ebu mdau wasikilize katika video hapo juu wanataja majina yao na maelezo kamili ilikuaje mpaka wakafika hapo na kushindwa kufanikiwa na nani kawatuma kufanya hivyo?utasikia hapo juu katika video.

Hivi ndio vifaa vyao vinavyotumika katika kazi zao.Huo mkuki ndio aliotumia mvulana kupaa nao na hicho kitenga ndio alichotumia huyo dada kupaa nacho.Na hizo ndege zao walizotumia ziliwatoa kigoma mpaka mwana dah ni umbali mrefu sana ama kwa hakika duniani kuna mambo.Mungu atulinde sisi wengine na unyama huu ameen.