Friday, May 11, 2012

MTOTO WA AJABU ALIEZALIWA HUYU HAPA


 Hapa ukitazama kwa makini unaona juu ya kichwa chake anasehem za siri za kike na zakiume.
Ukweli usiofichika huu ni mtihani uliowakuta wazazi wa mtoto ambae hakuwahi kuzaliwa nchini Tanzania.Kubwa kumuomba mungu awape subra juu ya mtihani huu,kwani siku zote mungu anapokupa mtihani hua hajakosea na anamaana yake na wakati mwingine mtihani anaokupa wewe unaweza kukufuru na kusema kwanini hakupe wewe?Wakati huo huo inawezekana kukawa na heri kubwa sana baada ya mtihani huo.Muhimu ni uvumilivu na kumuomba mungu na sisi wengine pia tumuombe mungu atupe vizazi vyakawaida katika jamii amen.