Thursday, May 31, 2012

KATIKA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA DARSTOCKHOLM NIMEAMUA KUONGEZA VITENDEA KAZI

                                      Sasa mjiazali na mnaojificha
                                   Hii kwa tukio lolote nitakalokutana nalo njiani utalipata

                                    Mtambo wa gonga hapana chezea mac book pro
Wadau wangu sijamalizia hapa baada ya siku chache nitawabadilishia uso wa blog na kuwa wakiushindani zaidi pamoja na slide pics zile zote tuliowahi piga sichagui sibagui atakaenizika simjui stay tune pia wale wapenda comments hilo litafanyiwa kazi ila comments zote zitanifikia mm kwanza kisha nitachuja na kuziweka kaa mkao wa kula.