Tuesday, May 15, 2012

THE GAME ANAPOTAKA KUPIMANA UBAVU KITAANI

Kiukweli huyu ni msanii kati ya wasanii watatu ninaowazimia sana wakwanza Jay z,Lil wayne na Game.Mshikaji Game namkubali anajiamini sana hata kipindi anatoka G unit watu walijua atapotea.Ila kujiamini kwake amesimama mpaka sasa,jamaa amuogopi mtu huyu zaidi ya mungu na yupo tayari kumvunjia mtu heshima asipoitaka heshima,hapa yupo mitaa ya hollywood anataka kupimana nguvu.